SHADHILY SOCIETY
Tuesday, 2 October 2012
SHUKRANI
›
Kwa niaba ya Shadhily Society naomba kutoa Shukrani za dhati kwa Hannat na Yusuph Family kwa kuwezesha kufanyika kikao chetu, kama kuna jamb...
Saturday, 22 September 2012
MAJINA YA KHITMA
›
Asalaam Aleykum, naomba kila mwanachama aandike majina kwaajili ya kusoma Khitma. Ahsanteni
ADDRESS YA KIKAO
›
Asalaam Aleykum, kikao chetu kitafanyika tarehe 29/09/12, saa nane mchana, address 79 Roxwell road, Barking, Essex, IG11 0PS. Ahsanteni
MCHANGO WA CHAKULA
›
Asalaam Aleykum, nimeshatuma Account number kwaajili ya chakula kwa kila mwanachama, kwa wale wasiopata nijulisheni, naomba kila mwanachama ...
MADA YA KWENYE KIKAO
›
Asalaam Aleykum, Naomba wanachama wote mchangie MADA ambayo mnataka izungumzwe kwenye mkutano na pia kuhusu marekebisho ya KATIBA manataka k...
Saturday, 21 July 2012
DUA - MILTON KEYNES
›
Tutakuwa na mawaidha jumamosi tarehe 28 halafu tutakuftari sote hapa Milton Keynes, karibuni sana waislam wote, Yanaanza saa 10 jioni ni nd...
RAMADHAAN MUBARAK
›
Asalaam Aleykum, nawatakieni Ramadhaan Kareem ndugu zangu, naomba Mola awawezeshe mfunge Ramadhaaan kwa salama, naomba Mola awawezeshe muima...
›
Home
View web version