Saturday, 21 July 2012

DUA - MILTON KEYNES

Tutakuwa na mawaidha jumamosi tarehe 28 halafu tutakuftari sote hapa Milton Keynes, karibuni sana waislam wote, Yanaanza saa 10 jioni ni ndugu zetu wale wa London Arbil wa Taquwa wale ambao walikuwepo kwangu na dufu kama mnawakumbuka. Mwenyekiti Msaidizi, Ibrahim Salim

RAMADHAAN MUBARAK

Asalaam Aleykum, nawatakieni Ramadhaan Kareem ndugu zangu, naomba Mola awawezeshe mfunge Ramadhaaan kwa salama, naomba Mola awawezeshe muimalize Ramadhaan kwa salama, naomba Mola wakubalieni dua zenu na naomba Mola awasemehini makosa yenu, Ameen