Monday, 21 May 2012

ACCOUNT NUMBER

Asalaam Aleykum, Alhamdullillahi tumepata account, Islamic Bank of Britain wametukubalia kufungua account na wameshatuma account number pamoja na online banking account. Kuhusu Account number na maelezo zaidi ya jinsi ya kuweka ada ya kila mwezi mtayapata siku ya kikao ama wasilianeni na mweka hazina Fathiya Said Tel: 07878081832.. Ahsanteni.. Katibu

No comments:

Post a Comment