Friday, 18 May 2012

BBQ

Wanachama wote tumekubaliana kufanya BBQ siku ya kikao, kwahiyo sote kwa pamoja tutakiwa kuchangia pesa za chakula kuanzia hivi sasa na mwisho wa kutoa mchango wa chakula ni tarehe 10 mwezi wa June. (Family £15 na single £10). Kuhusu jinsi ya kutuma hizo pesa kwenye account muone Ibrahim Salim ( Tel: 01908520736 au 07404489076) kwa maelezo zaidi na account number,  Wabillah Tawufiq, Mwenyekiti Msaidizi Ibrahim Salim

No comments:

Post a Comment